Moderators: Moderators, Junior Moderators


AbdiWahab252 wrote:Kaka,
Siku hizi ume anza ku tukana kabila yangu ? Kwa sababu ?


AbdiWahab252 wrote:PAtriot,
Chama Cha Wajinga ?![]()
![]()
Ndugu use sahwu kitu moja. kama kabila ni kubwa sana uta pata pumbavu wengi.
Sasa nipe mambo wa Kenya ? Nime sahwu jina za huyu MP kutoka Gariisa, Farah .... ? Huyu mzee ni mtu mzuri sana ana penda hali za wa Somali na Somalia.

Ume pata mke ? Ama bado ? 
AbdiWahab252 wrote:Patriot,
![]()
Beii za ticket ime kuwa ghali sana.
Ume pata mke ? Ama bado ?
Mimi sina bahati nzuri kwa wanawake. Nita omba Mungu ani tumea mischana nzuri.



AbdiWahab252 wrote:Patriot,
ku pata hawa ni ngumu sana. Lakini ku pata mke nzuri ni bahati.
Huja maliza shule ?



AbdiWahab252 wrote:Patriot,
![]()
![]()
Inzii
![]()
Eastliegh
![]()
![]()
Nina tafuta kazi kwa East Africa, nime choka na maisha za Mareykani. Nina taka ku iishi sehmu una weza ku tandika mke wako kama ana ku sumbuwa


AbdiWahab252 wrote:Patriot,
Nime maliza uni zamani, (maka kumi). Nime soma Biashara. Wewe una soma nini ?
San Diego ni sehmu mzuri sana. Nime ona wanawake mrefu sana hapo, nina fikiri ni OG. Wanawake OG ni maskini sana. Kaka wangu anayo bibi Maxmud Zubeyr.
Wanawake wa London ni wazimu. Si amiini wanawake wote kutoka London.


AbdiWahab252 wrote:Patriot,
Qabrihari ni sehmu watu wangu wame iishi maka mengi. Nina taka ku enda hapo.


Return to “General - General Discussions”
Users browsing this forum: No registered users and 67 guests