My book from amazon has arrived! A collection of essays about u know -who---
Moderators: Moderators, Junior Moderators





wacha kuenda mrama kipusa ungesema hivi.... 'Pat ninakupenda nawe najua ndani ya moyo wako wani penda hivyo basi tuataacha lini kulengana ilhali maisha ni siku tatu tayari siku mbili imepita.....'the patriot aka abdisamad3....
Ndugu wacha mambo za ufudhuli, mimi ni msichana mkubwa ambaye anaweza kukua dada yako. Na wewe ni kijana mkubwa ambaye anaweza kukua baba wangu, basi mzee wacha adabu mbaya!




hapana ndugu ni ya mombasa rahaPatriot your kiswahili is the swahili lamu fasihi!![]()


Return to “General - General Discussions”
Users browsing this forum: nnjrewzas112 and 13 guests