Page 2 of 4
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 1:24 pm
by BlackVelvet
Pat yani ukitumia hizi lines niaje ukosingle bado?
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 2:12 pm
by The_Patriot
Pat yani ukitumia hizi lines niaje ukosingle bado?
BV unajua I left my heart for a special person do you think na trust na mtu mwingine isipokuwa wewe?
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 2:30 pm
by BlackVelvet
Nisemeje, mamanzi wa Nairobi tuko vivyo hivyo
Wimbo gani ni hot sikuhizi Kenya? Na kwanza wewe unaweza kuimba? Hawa watu hawajui vii ku chill out siku hizi
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 2:38 pm
by The_Patriot
Nisemeje, mamanzi wa Nairobi tuko vivyo hivyo
Wimbo gani ni hot sikuhizi Kenya? Na kwanza wewe unaweza kuimba? Hawa watu hawajui vii ku chill out siku hizi
Shika miki.........
Mazee nairobi ni anadha level mahepi ni mob.
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 2:51 pm
by BlackVelvet
Nitaassume hiyo phrase yako sio tusi
Lakini wewe you should take my advice, tafuta msichana humo mahali
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 2:59 pm
by The_Patriot
Nitaassume hiyo phrase yako sio tusi
lool
Lakini wewe you should take my advice, tafuta msichana humo mahali
mimi nakutaka wewe tuu.
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 3:17 pm
by BlackVelvet
Lakini maisha ni hivyo sindiyo? Hatupati tunachotaka
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 9:49 pm
by The_Patriot
Lakini maisha ni hivyo sindiyo? Hatupati tunachotaka
Yep
sasa nieleze nani alikuvurugisha kichwa?
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 9:57 pm
by AbdiWahab252
Patriot, Adeer ma faydha ?
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 10:01 pm
by The_Patriot
Patriot, Adeer ma faydha ?
Abdi wan faya.
Re: Besha somnet
Posted: Thu Jul 12, 2012 10:04 pm
by AbdiWahab252
Patriot,
Adeer, I am coming after Ramadan.
Re: Besha somnet
Posted: Fri Jul 13, 2012 7:25 am
by The_Patriot
Patriot,
Adeer, I am coming after Ramadan.
Are you comming for your Kikuyu damsels?
Re: Besha somnet
Posted: Fri Jul 13, 2012 7:41 am
by Enlightened~Sista
Patriot Jambo!
Je wewe katika Kenya wakati huu?
Re: Besha somnet
Posted: Fri Jul 13, 2012 9:05 am
by OliveOil
Patriot, one of my favorite Snet characters!

Re: Besha somnet
Posted: Fri Jul 13, 2012 9:22 am
by The_Patriot
Patriot Jambo!
Je wewe katika Kenya wakati huu?
That was google translation .
The answer is: ndiyo niko Kenya, nchi nzuri inayopendeza.