Heeeee

Hebu nikuulize je kama leo nika kaa hapa kazi kutukana maogaden bila sababu yeyote ungekubali au ungejibu?
Pili hiyo methali uliyetumia inamaana nyingine kabisa, ukisemea nyoka maana kitu chungu au sio, je wewe umechukulia Isaaq kuwa ni watu wabaya?
Tatu masijui wote wanajua makabila zao siku hizi, nadhani wewe ndio iliyekuingia mpaka damu au sio kakangu ?
