sir, bro ilahey baa igu og sijafahamu hata neno moja ulionena

. tafadhali sema mara nyingine na useme kuwa lugha ninayo inayo fahamika (as in doqon far waawen aa loogu dhigaa) kama unafiyo jua kingereza yangu si kizuri sana kama yako
Lord-diplork,
Niaje bro, habari za wera?? wewe wa amini watu wengi hawaongei kiswahili hapa?

dont be decieved kakangu mdogo

wengi wawatu wanaoa kusanyika hapa huongea kiswahili sanifu sana. lakini wengine kama basra hawataki kuongea lugha hii kuwasababu anaogopa kuituwa sijui au labda wanaogopa kesi zao za asylum zifuatiliwe, wakabidhiwe na warudhishuwe nyumbani

. lakini in my opinion, watu hawa ni wafala. kama watu waweza kuzungumuza lugha ndogo ndogo kama kidhachi, jerumani au ureno bila shida. mbona wanaona haya kuongea lugha ijulikanayo ulimwengu mzima kama swahili? beats me big time
CAYDID, swahili is most spoken language in africa, arabic is a close second. check the link i provided or google for more info.
cawar, wewe ni fisi
