Welcome to SomaliNet Forums, a friendly and gigantic Somali centric active community. Login to hide this block

You are currently viewing this page as a guest. By joining our community you will have the ability to post topics, ask questions, educate others, use the advanced search, subscribe to threads and access many, many other features. Registration is quick, simple and absolutely free. Join SomaliNet forums today! Please note that registered members with over 50 posts see no ads whatsoever! Are you new to SomaliNet? These forums with millions of posts are just one section of a much larger site. Just visit the front page and use the top links to explore deep into SomaliNet oasis, Somali singles, Somali business directory, Somali job bank and much more. Click here to login. If you need to reset your password, click here. If you have any problems with the registration process or your account login, please contact us.

Mbona mmelala?

Siyaasada Reer Kenya

Moderators: Moderators, Junior Moderators, Islam mods

OUR SPONSOR: LOGIN TO HIDE
User avatar
maria from west side
SomaliNet Heavyweight
SomaliNet Heavyweight
Posts: 4694
Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
Location: Iceland
Contact:

Mbona mmelala?

Postby maria from west side » Fri Nov 20, 2009 3:00 pm

Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe.... :idea:

User avatar
nomadicwarlord
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 5946
Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
Location: Ayaan Hirsi's guest room

Re: Mbona mmelala?

Postby nomadicwarlord » Fri Nov 20, 2009 3:30 pm

Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe.... :idea:
Waache walale hawo. Wakenya ni washoga. :lol:

The_Patriot
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 20702
Joined: Wed Jun 28, 2006 9:39 am

Re: Mbona mmelala?

Postby The_Patriot » Fri Nov 19, 2010 11:00 am

Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe.... :idea:
Waache walale hawo. Wakenya ni washoga. :lol:
Nani kashinda ndovu Kuhara ? :lol: :lol: :lol: :lol: :lol:

Twajua nani Bingwa wa ushoga kikombe mara kwa mara huchukuliwa na wa Bongo ma bingwa ya ushoga :lol: :lol: :lol:

User avatar
nomadicwarlord
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 5946
Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
Location: Ayaan Hirsi's guest room

Re: Mbona mmelala?

Postby nomadicwarlord » Mon Nov 22, 2010 1:49 pm

Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe.... :idea:
Waache walale hawo. Wakenya ni washoga. :lol:
Nani kashinda ndovu Kuhara ? :lol: :lol: :lol: :lol: :lol:

Twajua nani Bingwa wa ushoga kikombe mara kwa mara huchukuliwa na wa Bongo ma bingwa ya ushoga :lol: :lol: :lol:
:lol: :lol: Mzee Patriot, nimesikia kwamba wakenya wata approve ndoa za kishoga soon. :lol: Watu wa kibongo wanapenda wademu zao..

The_Patriot
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 20702
Joined: Wed Jun 28, 2006 9:39 am

Re: Mbona mmelala?

Postby The_Patriot » Mon Nov 22, 2010 8:10 pm

kusemakweli nadhani wajua kwa sasa kuwa wabongo hawana haja ku a prove yani imekuwa utamaduni yao unajua one drop rule? ya waswahili? :lol: :lol: :lol: :lol: :lol:

User avatar
maria from west side
SomaliNet Heavyweight
SomaliNet Heavyweight
Posts: 4694
Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
Location: Iceland
Contact:

Re: Mbona mmelala?

Postby maria from west side » Mon Nov 29, 2010 2:43 am

U 2 need to get leid :clap: ...

Acheni na habari za ushoga, ur starting to sound more like mashoga mawili, arguing about their lover.

User avatar
nomadicwarlord
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 5946
Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
Location: Ayaan Hirsi's guest room

Re: Mbona mmelala?

Postby nomadicwarlord » Thu Dec 02, 2010 10:39 pm

kusemakweli nadhani wajua kwa sasa kuwa wabongo hawana haja ku a prove yani imekuwa utamaduni yao unajua one drop rule? ya waswahili? :lol: :lol: :lol: :lol: :lol:

:lol: :lol: :lol: Maisha ya wabongo ni sawa. :up: wanapenda raha lakini wakenya walitook hizo raha to the next level.

Maria from west side - Tuko pamoja, au sio?

User avatar
maria from west side
SomaliNet Heavyweight
SomaliNet Heavyweight
Posts: 4694
Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
Location: Iceland
Contact:

Re: Mbona mmelala?

Postby maria from west side » Tue Dec 07, 2010 3:14 am

Normadicwarload... It depend on what u mean. :)
The patriot, Kiswahili chako ninanichengua, alafu unapochanganya na kingereza ndio unazidisha kabisaaa, manake unaniacha kwenye mataa, macho juu juu. :lol:

Miaka ya zamani wabongo ndio walikuwa wamelala, lakini kwa hivi sasa wakenya ndio wamelala. Mimi naongelea kimaendeleo, habari ya ushoga tuweke pembeni.
Ukiangalia kitabia baina ya masijui wa Kenya na wa Tz ni tofauti kabisa, sijawahi kuona watu bahili na roho stoki kama wa Kenya, Walendo walio pitia nchi zote mbili wanatufahamu vizuri, wanajua kutuchambua kwa uzuri wetu na ubaya wetu. Hands up!

The_Patriot
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 20702
Joined: Wed Jun 28, 2006 9:39 am

Re: Mbona mmelala?

Postby The_Patriot » Tue Dec 07, 2010 3:26 am

Normadicwarload... It depend on what u mean. :)
The patriot, Kiswahili chako ninanichengua, alafu unapochanganya na kingereza ndio unazidisha kabisaaa, manake unaniacha kwenye mataa, macho juu juu. :lol:
Unanitoa rangi :lol: :lol: :lol:

User avatar
nomadicwarlord
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 5946
Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
Location: Ayaan Hirsi's guest room

Re: Mbona mmelala?

Postby nomadicwarlord » Tue Dec 07, 2010 9:21 pm

Normadicwarload... It depend on what u mean. :)
The patriot, Kiswahili chako ninanichengua, alafu unapochanganya na kingereza ndio unazidisha kabisaaa, manake unaniacha kwenye mataa, macho juu juu. :lol:

Miaka ya zamani wabongo ndio walikuwa wamelala, lakini kwa hivi sasa wakenya ndio wamelala. Mimi naongelea kimaendeleo, habari ya ushoga tuweke pembeni.
Ukiangalia kitabia baina ya masijui wa Kenya na wa Tz ni tofauti kabisa, sijawahi kuona watu bahili na roho stoki kama wa Kenya, Walendo walio pitia nchi zote mbili wanatufahamu vizuri, wanajua kutuchambua kwa uzuri wetu na ubaya wetu. Hands up!

Maria - Hiyo ina maana moja. :mrgreen: Kiswahili cha Mzee Patriot ni poa, mimi pia nikitaka kuongea kiswahili siku hizi, nachanganyisha na kiingereza, ni lazima nirudi Bongo :lol:

Patriot- ulipitia Mombasa ama? :lol:

User avatar
maria from west side
SomaliNet Heavyweight
SomaliNet Heavyweight
Posts: 4694
Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
Location: Iceland
Contact:

Re: Mbona mmelala?

Postby maria from west side » Wed Dec 08, 2010 3:07 am

Patriot... Wala usijali, mie nilikuwa natingisha kibiriti tu, sikuumbui wala sina maana mbaya.
Normadicwarlord....Uwe makini ukirudi bongo, manake watu wana tabia wa kupakazia kichizi, ukichanganya kiswahili na kingereza wanamtindo wa kusema kuwa unajitia mzungu.

The_Patriot
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 20702
Joined: Wed Jun 28, 2006 9:39 am

Re: Mbona mmelala?

Postby The_Patriot » Wed Dec 08, 2010 3:39 am

Patriot... Wala usijali, mie nilikuwa natingisha kibiriti tu, sikuumbui wala sina maana mbaya.
Normadicwarlord....Uwe makini ukirudi bongo, manake watu wana tabia wa kupakazia kichizi, ukichanganya kiswahili na kingereza wanamtindo wa kusema kuwa unajitia mzungu.
:lol: :lol: :lol:
Ok nilidhani nimekuwa minority :lol: :lol: :lol: 2 Vs 1

Lakini inaonekana kweli MWS ndiye mtaalam wa lugha ya kiswahili, kweli umekitukuza.

MWS utani wako umefika next level...mimi kuwandika kisomali ndiyo imenichanganya imearibu jinsi ya kutunga sentensi :lol: :lol: :lol:
Wajuwa hawa walendo lazima tuwa onyeshe kuwa twaweza kusakata mpira :up: 8-)

User avatar
nomadicwarlord
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 5946
Joined: Wed Aug 27, 2008 1:56 am
Location: Ayaan Hirsi's guest room

Re: Mbona mmelala?

Postby nomadicwarlord » Fri Dec 10, 2010 2:30 am

Maria - Nikirudi Bongo sitaongei,sijali wakiniambia mambo hayo. Wademu wanaocheza na Taarabu wananisubiri. Kiswahili chako ni sanifu. :up:

Patriot - Walendo walikuvugurisha kiswahili chako achana nao :lol: :lol: j/k.

User avatar
maria from west side
SomaliNet Heavyweight
SomaliNet Heavyweight
Posts: 4694
Joined: Sun Oct 03, 2004 6:31 am
Location: Iceland
Contact:

Re: Mbona mmelala?

Postby maria from west side » Sun Dec 12, 2010 3:43 am

Patriot.... lol, Kusema kweli hata mie kisomali kukiandika kinanipiga chenga, usiwajali walendo, hatuwezi kujifunza kitu bila ya kukosolewa, ingawa wenyewe wana madharau kupita kiasi. Keep up the good work! :up:

Normadic.... Usiniambie kumbe mwenzangu una plani ya kuakti bubu :clap: ...

User avatar
shidow1
SomaliNet Super
SomaliNet Super
Posts: 5873
Joined: Sat Jul 21, 2007 3:36 pm
Location: Sarman

Re: Mbona mmelala?

Postby shidow1 » Wed Jan 05, 2011 11:14 pm

Wakenya mbona mmelala.....Walisemaga, aliyelala usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe.... :idea:
:roll:

OUR SPONSOR: LOGIN TO HIDE

Hello, Has your question been answered on this page? We hope yes. If not, you can start a new thread and post your question(s). It is free to join. You can also search our over a million pages (just scroll up and use our site-wide search box) or browse the forums.

  • Similar Topics
    Replies
    Views
    Last post

Return to “Somali Kenyans - Politics”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 4 guests