Moderators: Moderators, Junior Moderators







E sister, ukhti jameela alxamdulilah ana bikheyr. Keyfa anti

Cheki nilidhani hatutawachana till death does us apart.Nimeskia hizo vitu zina enda for minimum G ishirini, lakini kusema kweli siku hizi watu wanataka kurudi nyumbani


Zii ukini peleka huko nita pata miaka miwili alafu permanent residence kisha nakuwa mwana inchi.Miaka tano mpaka upate waraka zako


Duu nataka wewe guess what? Nikifunga macho nakuona kwa ndoto,kwani wewe huchoki?Nilidhani tano, niaje wewe unajua more than me?![]()
Sasa wewe unataka kitubore niaje maze? Lakini nina idea unaweza kumake account kwa hii website unajua kuna wasichana wengi wanaotafuta mjomba, unaweza kupata msichana mzuri sana anayoishi huku pweni

Return to “General - General Discussions”
Users browsing this forum: nnjrewzas112 and 70 guests